BBC News, Swahili - Habari

Oktoba 28 Watanzania wanatarajiwa kupiga kura katika uchaguzi mkuu utakaowapatia viongozi kwa miaka mitano ijayo.

Sikiliza, Corona: Je, Ronaldo atafaulu kupambana na Messi?, Muda 2,00

Kuna uwezekano nyota wa soka duniani Cristiano Ronaldo akajumuishwa katika kikosi kitakachovaana na Barcelona kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya wiki ijayo.

Video, Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 22/10/2020, Muda 23,45

Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 22/10/2020 na Zuhura Yunus

 • Dira Ya Dunia, 18:29, 23 Oktoba 2020

  Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki

 • Amka Na BBC, 06:59, 23 Oktoba 2020

  Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

 • Amka Na BBC, 05:59, 23 Oktoba 2020

  Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki

 • MBELE Wiki Hii, 06:00, 24 Oktoba 2020

  Kipindi cha yaliyojiri wiki nzima kinachokujia kila Jumamosi saa kumi na mbili asubuhi Afrika Mashariki

 • Matumizi ya Lugha

  Pengine kitu muhimu kabisa katika uandishi wa habari ni lugha. Kutumia lugha sawa na sahihi inawapa nafasi waandishi wa habari kuripoti habari na wakati huohuo kufuata mwongozo wa uhariri wa BBC. Lugha inaendelea na kubadilika; hapa utapata ushauri kuhusu lugha sahihi na isiyopendelea, athari za mitandao ya jamii juu ya lugha yako na mengi zaidi.

 • Sikiliza, Njia za kukabili habari feki mtandaoni, Muda 6,57

  Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.